Njagi alisema kuna ushirikiano kati ya Kenya, Tanzania na Uganda katika kuwakandamiza wakosoaji wa tawala zao, jambo ambalo limeongeza hofu miongoni mwa wanaharakati na viongozi wa upinzani.
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!