Viwango vya kuishi kwa watoto wenye saratani bado vinatofautiana sana kati ya nchi zenye kipato cha juu na zile zenye kipato cha chini, hali inayochangiwa na changamoto nyingi zinazohusiana.
Uchambuzi mpya wa shirika hilo unaonesha kuwa takriban asilimia 37 ya visa vipya vya saratani vilivyoripotiwa mwaka 2022, sawa na visa milioni 7.1, vilihusishwa na sababu zinazoweza kuzuilika.