Jiji la Nairobi limeadhimisha kumbukumbu ya miaka saba tangu shambulizi la kigaidi katika jengo la Dusit D2 lililotokea mwaka Januari 15, 2019
Hata hivyo, hali ya ukame kuliko kawaida inatarajiwa katika maeneo ya pwani ya Kenya, hali inayohitaji tahadhari ya mapema kwa jamii na wadau wa sekta nyeti kama kilimo na maji.
Tawi la Linda Mwananchi linafanya kazi dhidi ya uongozi wa Oburu Odinga, likipinga mkataba wa makubaliano na UDA na kudai demokrasia ndani ya chama kupitia NDC.
Ukame mkali umeacha zaidi ya Wakenya milioni mbili wakikabiliwa na njaa, huku jamii za wafugaji katika eneo la Kaskazini Mashariki zikionekana kuathirika zaidi
Viongozi wakuu wa Muungano wa Upinzani wamemshutumu Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, kwa kupuuza mkutano muhimu wa kiusalama
Wanasayansi wamegundua chanzo halisi cha tatizo adimu sana la kuganda kwa damu lililohusishwa na baadhi ya chanjo za COVID-19 zinazotumia kirusi aina ya adenovirus
Waziri mwenye Mamlaka Makuu, Musalia Mudavadi ametangaza kuwa maafisa wa polisi wa Kenya waliokuwa wametumwa nchini Haiti sasa wataanza kurejea nyumbani
Viwango vya kuishi kwa watoto wenye saratani bado vinatofautiana sana kati ya nchi zenye kipato cha juu na zile zenye kipato cha chini, hali inayochangiwa na changamoto nyingi zinazohusiana.
Rigathi Gachagua, ameondoa rasmi ombi lake la kurejeshwa madarakani katika kesi yake inayoendelea mahakamani ya kupinga mchakato wa kuondolewa kwake madarakani.
Mnamo mwaka wa 1997, ndege ya Nelson Mandela ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, na zulia jekundu lilikuwa tayari limetandazwa.