Mahakama imeelezwa kuwa uchambuzi wa data za simu umebaini kile wachunguzi wanachokitaja kama mtandao wa mawasiliano uliopangwa kati ya Paul Mackenzie na kundi lake la usalama
The self-confessed suspect gave harrowing testimony alleging that controversial preacher Paul Mackenzie directly supervised grave digging and burials inside the forest.
Huenda kesi ya mauaji ya Shakahola inayomkabili mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie pamoja na washukiwa wengine ikachukua mkondo mpya, baada ya mmoja wa washukiwa...